Wateja/Wanted/Kupangisha

 1.Natafuta Chumba .Maeneo ya Mabibo,nitalipa miezi Mitano

2.Natafuta Chumba,maeneo ya Maji chumvi,Tabata Kisukuru.

3.Natafuta Chumba single room,Maeneo ya Golani au Msewe,karibu na chuo cha UDSM.Budget yangu ni 50×5 au 60×4.

4.Natafuta Chumba.Maeneo ya Kibamba.

Kwa mawasiliano na hawa wateja,jiunge na Telegram Channel yetu:Anfra Masoko

Bofya hapa Anfra Masoko

Contacts:
Posted by: Anfra Masoko TZ on

Leave a Reply