BUYERS List Oct-Nov 2021

1.Natafuta Gari Ist, raum, vits new model, au ractis iwe namba d, ofa yangu milioni 6 tu namba yangu.Dar es Salaam. 2.Natafuta Body ya Nissan Patrol .Budget 2m.Location Arusha 3.Natafuta kioo cha s7edge alienacho tufanye biashara.Budget SHS.100,000.Dodoma. 4.Natafuta Gari Premio new model. cc1490.Budget 10m.Dear es Salaam. Kujua zaidi kuhusu bidhaa Read More

Buyers List October 2021

1.Natafuta PS3.Budget ni Shs.220,000.Location-Dodoma. 2.Natafuta dereva wa Daladala Posta na Kijichi.Posho ni 100,000.Location DSM. 3.Natafuta Kiwanja,Kiwe a Nzuguni au Kisiwe.Kuanzia sq.m 400.Bei maelewano.Location Dodoma. 4.Natafuta Nissan X-Trail hata kama engine na gear box ni mbovu.Location Arusha. 5.Natafuta modem ya Tigo au Airtel.Iwe 4G.Budget 10,000.Location Arusha. 6.Natafuta msichana wa Kazi za Read More

Buyers List:Wateja AUGUST 2021

 1.Natafuta Townace au Liteace haraka.Budget yangu ni 5m.Location Tanga 2.Natafuta fuse box ya ndani.Budget yangu ni shs.200,000.Location:DSM 3.Natafuta chumba master.Kiwe maeneo ya Rainbow na Morena.Bei iwe kati ya shs.80,000-100,000. Location:Dodoma 4.Natafuta Mashine ya Kutunzia Juice.Location DSM. 5.Natafuta mabati used mwenye nayo,nayahitaji.

Buyers/Wanted:July 2021 List

1.XS ya ICLOUD- 150k bei offer nataka ninunue. Location:DSM  2.I phone 8 plus..Ina I cloud lock natafuta fundi ANAEWEZA kutoa activation lock nina 80,000 maongezi yapo ila I cloud ya kwanzaa imesahaulika so inahitaji ku bypass Location:DSM  3.Natafuta Kioo cha Samsung S5.Bei iwe nzuri Nipo kigamboni. Location:DSM  4.   Natafuta Hard-Disk Read More

Tender:Supply of ICT Consumables

 Tender: IE.011/WB-PSSN II-P169165/161191/2020-21/G/07 Workspace DetailsRemaining time (days/hours) to deadline:9/17 Name of Procuring Entity:Tanzania Social Action Fund APP Reference Number:5955873/3643/IE.011/WB-PSSN II-P169165/161191/2020-21/G/07Tender Unique ID:TASAF/2021/G/12Tender No:IE.011/WB-PSSN II-P169165/161191/2020-21/G/07 Description:Supply of ICT Consumables Tender Category:GoodsProcurement  Method:National Competitive  Tendering Includes eAuction:No Commencement Type:Advertisement of Notice Threshold:Below Procurement Technique:Invitation To Bid (ITB) Number of Stages:1Evaluation Mechanism:Lowest Evaluated Bid Read More