Buyers/Wanted:July 2021 List

1.XS ya ICLOUD- 150k bei offer nataka ninunue. Location:DSM  2.I phone 8 plus..Ina I cloud lock natafuta fundi ANAEWEZA kutoa activation lock nina 80,000 maongezi yapo ila I cloud ya kwanzaa imesahaulika so inahitaji ku bypass Location:DSM  3.Natafuta Kioo cha Samsung S5.Bei iwe nzuri Nipo kigamboni. Location:DSM  4.   Natafuta Hard-Disk Read More

Wateja/Wanted List June 2021

WANTED PRODUCTS & SERVICES  1.Dodoma:natafuta chumba cha kupanga.Chumba kiwe na umeme pamoja na maji yawepo yasiwe mbali nipigie. 2.Natafuta line ya uwakala Tigopesa  3.Nyumba ya vyumba vitatu na mahitaji yote muhimu inatafutwa na mteja,maeneo ya Kigamboni.Budget ni 25 mil.Pia kiwanja kinatafutwa,mil 5.Tuwasiliane whatsap kama unacho,njoo na picha na maelekezo. 4.Natafuta Read More